Asante-Evelyn Wanjiru Lyrics
INTRO
Asante Yesu,
(Asante Yesu)
(Asante Yesu)
(Asante Yesu)
CHORUS
Kwa wema wako
(Kwa wema wako)
(Kwa wema wako)
(Kwa wema wako)
CHORUS
Pokea sifa
(Pokea sifa)
(Pokea sifa)
(Pokea sifa)
CHORUS
Ayaya Ninakupenda
(Ninakupenda)
(Ninakupenda)
(Ninakupenda)
CHORUS
Kwa wema wako
(Kwa wema wako)
(Kwa wema wako)
(Kwa wema wako)
CHORUS
Sijaona anayenifurahisha nasema
(Pokea sifa)
(Pokea sifa)
(Pokea sifa)
VERSE
Tazama yale Mungu ametenda
Ametimiza ahadi yake ndani yangu
Na sasa mimi nashuhudia
Ya kwamba Mungu wangu mwaminifu
Ya kwamba Mungu wangu anajibu
Ya kwamba Mungu wangu anaweza
CHORUS
(Asante Yesu)
(Asante Yesu)
(Asante Yesu)
CHORUS
Mimi ninakupenda
(Ninakupenda)
(Ninakupenda)
(Ninakupenda)
CHORUS
Ayayaya Umwaminifu,Umwaminifu
(Umwaminifu)
(Umwaminifu)
(Umwaminifu)
CHORUS
Nasema asante
(Asante Yesu)
(Asante Yesu)
(Asante Yesu)
VERSE
Uombalo utapewa
Utafutapo utaona
Sikio lake sio zito
Kusikia ombi lako
Atajibu
Furahia ndani ya Yesu
Ameleta ushuhuda
Furahia ndani ya Yesu
Mpe Ibada yako
CHORUS
(Umwaminifu)
(Umwaminifu)
(Umwaminifu)
CHORUS
Nasema asante asante asante asante
(Asante Yesu)
(Asante Yesu)
(Asante Yesu)
CHORUS
Naimba Kwa sababu mimi ni testimony
Am testifying testifying
(Ninakupenda)
(Ninakupenda)
(Ninakupenda)
CHORUS
He changed my story
Now am called Mama mama, mama
(Umwaminifu)
(Umwaminifu)
(Umwaminifu)
CHORUS
Wacha niimbe,wacha nisifu
(Asante Yesu)
Naimba sifa za shukurani yeyeyeye
(Asante Yesu)
(Asante Yesu)
OUTRO
Mimi ni ushuhuda ya kwamba Mungu anajibu Kwa wakati wake